The meek business center

Center of business where you will get best and quality services - meekbiz.blogspot.com.

The meek Computing solution

Computing center where is the end of your problems that faced you about the issue of computer technology - meekbiz.blogspot.com.

The meek barber shop

The best, quality and executive barbing or cutting style, dont wast time moving around finding the place tah can make you smart - meekbiz.blogspot.com.

The meek soft drinks

Why having stress while enjoyable thing are available at the meek business center, just come and have funny with us

The meek money point

Access your money every where and every time on your hand and never let any body know password - meekbiz.blogspot.com.

Karibu katika mafunzo ya computer

Kwa watumiaji wa computer mnakaribishwa kwa wingi katia mafunzo ya computer yatakayo kunufaisha katika ulimwengu hu wa teknolojia - meekbiz.blogspot.com.

Welcome to our blog. Join with us to get some services that you can not avoid.

The meek business center is a place where you will going to forget about those embarrassment because of the quality services for the cheepest price that provided with our business center. We are here for you and we value you alot because without you we can not do what we do and we do it for you our customer

Shortly we are dealing with computing issues such as designing, computer maintenance,software intallation,website designing,database designing,money point,hair cutting,lounge place.

Thursday, April 24, 2014

MASWALI SABA YA JAJI WARIOBA KWA WAJUMBE WA BUNGE WANAOIPINGA RASIMU YAKE

 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameuliza maswali saba ya msingi kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaopinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume yake akitaka wawajibu wananchi ili kutuliza kiu yao.

Tuesday, June 18, 2013

TAHADHARI: UGONJWA WA "DENGUE" WAINGIA Dar es Salaam!

Kwa wale wafuatiliaji wa habari za magazetini, mtakuwa mmesikia kuhusu kuzuka kwa ugojwa uitwao "Dengue fever" ama kwa kiswahili huitwaHoma ya Dengue

Habari zinasema kwamba tayari watu sita wameshathibitika kuwa na tatizo hili na tayari wako hospitali. Juma lililopita, ugonjwa huu uliua watoto wapatao 6 katika Wilaya ya Ilala na ikasemekana kwamba ni 'Malaria kali' lakini baada ya sampuli za damu kupimwa zaidi ilionekana walikuwa na homa ya dengue!

Sunday, June 16, 2013

TAIFA STAR v/s IVORYCOST

Watanzania tujitokeze kwa wingi leo katika uwanja wa taifa kuiunga mkono timu yetu ya taifa, Sion yanga wala simba au azam inayocheza bali ni timu yetu ya taifa
wajinga wote na waliokosa uzalendo wa nchi yao watashangilia ivorcost leo....mie team stars leo tuwaunge mkono

HALI ILIVYOKUWA KWENYE SHOW YA LADY JAY DEE NA ILE YA MWANA FA

BOMU LALIPUKA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA, WATU KADHAA WAHOFIA KUPOTEZA MAISHA!


Hali siyo shwari polisi wanalipua mabomu watu wamejeruhiwa
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.

Friday, June 14, 2013

KINANA AMBURUZA MSIGWA KOTINI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdul-rahman Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema), kutokana na kumtuhumu anajihusisha na ujangili na biashara haramu ya pembe za ndovu.

Thursday, June 13, 2013

MSANII LANGA AFARIKI DUNIA

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. 
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mungu amrehemu.

Monday, June 10, 2013

CHADEMA INAUNGA MKONO RASIMU YA KATIBA MPYA - MBOWE

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba.

Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa jiji la Mbeya katika mkutano wa kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Iyela kwa tiketi ya Chadema Charles Nkelwa.

Previous Post Home