Sunday, June 16, 2013

BOMU LALIPUKA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA, WATU KADHAA WAHOFIA KUPOTEZA MAISHA!


Hali siyo shwari polisi wanalipua mabomu watu wamejeruhiwa
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.


Hii ni taarifa ya msemaji wa jeshi la Polisi.

" kufuatia tukio lililotokea maeneo ya Soweto mkoani Arusha la mlipuko wa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema, ametuma timu maalum kutoka Makao Makuu ya Polisi ikiongozwa na kamishina Chagonja na kamishina Mngulu kwenda kuongeza nguvu mkoani Arusha. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa eneo la tukio mkoani Arusha.
Advera Senso- Msemaji Jeshi la Polisi".

Next Post Previous Post Home

1 comments: