Wednesday, June 5, 2013

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MSANII ALBERT MANGWE


Mamia wajitokeza kumuaga msaani albert Mangweha leo viwanja vya Lidaz club jijini dar,kuzikwa morogoro kesho.

 

 
 






Waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea

Sanduku leneye mwili wa Marehemu Albert Mangwea likifunikwa mara baada ya waombolezaji
kupita kumuaga kwa mara ya mwisho kwenye viwanja vya Lidaz Club,kinondoni jijini Dar.


 
Waombolezaji wakiondoka kwenye viwanja vya Lidaz Club tayari kuelekea Mkoani Morogoro,
ambako marehemu anatarajiwa kuzikwa huko hapo kesho.
 
 
Gari iliyobeba mwili wa Marehemu Albert Mangwea (ya pili nyuma) ikiongozwa na gari ya
polisi,tayari kwa kuanza safari ya kuelekea mkoani Morogoro,ambako anatarajiwa kuzikwa kesho.



















 

Next Post Previous Post Home

0 comments:

Post a Comment