Saturday, June 8, 2013

TANZANIA vs MOROCCO LEO

Morocco vs Tanzania - June 08, 2013

Kwa pamoja tuiombee timu yetu ya Taifa, iweze kuibuka na ushindi; kitu kitakachotupa matumaini makubwa zaidi ya kucheza Kombe la Dunia 2014. [Pichani ni mechi ya awali]

Mechi itaanza mida ya Saa 5 usiku (mida ya Tanzania)


Brazil inawezekana” ‘ndiyo kauli mbiu ya Taifa stars leo’
Stars lazima kieleweke leo inashuka kwenye uwanja wa Stade de Marrakech, kupambana na wenyeji wao, timu ya Taifa ya Morocco katika mchezo wa kusaka kufuzu kwa kombe la Dunia 2014.
Tanzania ipo nafasi ya 109 kwa viwango vya FIFA.
Stars wanashuka dimbani wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kwenye uwanja huo waliponyukwa 3-1 mwaka 2011.
Kila la kheri Taifa Stars, Morocco inafungika

Next Post Previous Post Home

0 comments:

Post a Comment