Tuesday, May 28, 2013

TRENI YAUA UKONGA-MOSHI BAR

Muda mfupi auliopita treni imegongana na gari aina ya RAV4 na dereva (me)amekufa muda huu na abiria(ke) yu mahututi. ni vema kwa waendeshao magari wakawa makini wanapokatisha njia za reli.


Next Post Previous Post Home

1 comments: