Wednesday, June 5, 2013
KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MAMNGWEA
Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea likisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la Eapoti hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi--Amen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment