Friday, June 7, 2013

KOCHA JOSE MOURINHO ASAINI MKATABA MPYA CHELSEA …

Kocha mkali duniani, JOSE MOURINHO amesaini mkataba mpya wa kuifundisha timu yake ya zamani ya CHELSEAMourinho ambae amemaliza mkataba wake na timu ya REAL MADRID ya Hispania anataraji kuanza tena kazi yake huko STAMFORD BRIDGE Uingereza …
Mourinho amerejea CHELSEA kwa mkataba wa miaka minne huku akilipwa Pauni za kiingereza milioni 10 kwa mwaka … Mourinho anadai kurudi katika timu hiyo ya mpira wa miguu kwa kuwa alipenda na anapenda kuifundisha pia …

Next Post Previous Post Home

0 comments:

Post a Comment