Friday, June 7, 2013

MASAA MACHACHE KABLA YA ILE SHOW YA KTMA 2013 …


Tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards [KTMA]-2013 imefika … Itafanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani City Conference Centre









Tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards [KTMA]-2013 imefika … Itafanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani City Conference Centre … Katika Tuzo hizo kutakuwa na burudani tofauti kutoka kwa wasanii mbali mbali wa hapa Tanzania … Ni tuzo zenye zaidi ya vipengele 30 vikihusisha wasanii wanaoimba mahadhi tofauti tofauti katika muziki …

Next Post Previous Post Home

0 comments:

Post a Comment