Kocha mkali duniani, JOSE MOURINHO amesaini mkataba mpya wa kuifundisha timu yake ya zamani ya CHELSEA … Mourinho ambae amemaliza mkataba wake na timu ya REAL MADRID ya Hispania anataraji kuanza tena kazi yake huko STAMFORD BRIDGE Uingereza …
Mourinho amerejea CHELSEA kwa mkataba wa miaka minne huku akilipwa Pauni za kiingereza milioni 10 kwa mwaka … Mourinho anadai kurudi katika timu hiyo ya mpira wa miguu kwa kuwa alipenda na anapenda kuifundisha pia …
0 comments:
Post a Comment