LADY JAYDEE ni mmoja ya wasanii waliokuwa na show mwisho wa mwezi tano ikijulikana kama MIAKA 13 ya LADY JAYDEE Katika Muziki … Show hiyo ilihairishwa kutokana na msiba mkubwa ulioikumba Tanzania especially tasnia ya muziki … R.I.P Albert Mangweha …

Sasa mpya kutoka kwa LADY JAYDEE ni kuwa ametangaza tarehe mpya ya show yake hiyo, ambapo itakuwa ni 14 mwezi huu [JUNE 14th] … Katika show hiyo ambayo LADY JAYDEE atasindikizwa na wasanii kadhaa kutoka hapa hapa nyumbani TZ itakuwa na special treatment ya RED CARPET, NEW ALBUM release pamoja na LIVE SHOW na kufanyika katika restaurant ya NYUMBANI LOUNGE …
0 comments:
Post a Comment