Tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards [KTMA]-2013 imefika … Itafanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani City Conference Centre …
Tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards [KTMA]-2013 imefika … Itafanyika kesho katika ukumbi wa Mlimani City Conference Centre … Katika Tuzo hizo kutakuwa na burudani tofauti kutoka kwa wasanii mbali mbali wa hapa Tanzania … Ni tuzo zenye zaidi ya vipengele 30 vikihusisha wasanii wanaoimba mahadhi tofauti tofauti katika muziki …
0 comments:
Post a Comment