PICHA ZA MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA NYUMBANI KWAO MOROGORO.
Huyu ndio mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea (Picha na Global Publisher)
Hatimae leo safari ya mwisho ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Albert Mangwea a.k.a (Ngwea) imefika mwisho baada ya maelf ya mashabiki wake kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.
Hapa ndipo mwili wa msanii NGWEA ulipopumzishwa.
0 comments:
Post a Comment